Na hii ndio maana dini hasa ukristu umetapakaa dunia ya tatu , eti maadam maisha yamenishinda heri nitamani ufalme wa mbinguni . Utatamanije kitu kisichoonekana? Karl Marx akifufuka atawachapa viboko. Japo matajiri wengi sio Mungu kawapa ila huenda maisha ni " survival for the fittest " Play your game well