Biblia kwa Jicho Jingine

Umeipata wapi? Naomba link tafadhali!
Kiukweli ni makala nzuri,ila sijui alishindwa vipi kusema ka itoa mahali!
 
Bado najaribu kuchimbua sehemu mbalimbali kwny mtandao ila bado sijapata nikiinisa tu ntaweka link hapa

Kitabu kinaitwa

Bible through the eyes of another

Wataarifu na wengine,

Uki ki download tutumie humu
 
Wazee tuwekane wazii wazee mbona kwenye hiii biblia hakuna sehem ambayo Yesu ameingia kanisani na je kama lipo hilo andiko aliingia dheheb ganiii wazee na pili dini ya Ukristo ipo sehem kwenye biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeisoma mada yako na kuvutiwa sana nayo. Kuna mambo fulani hata mimi ninadhani huenda ilikuwa hivyo. Tumeandika dhana mbili tofauti kwa nyakati mbili tofauti, na huku kila mtu akiwa "independent" lakini naona kuna aina fulani ya mfanano wa yale yaliyotokea hapo awali katika ulimwengu wa mwili kabla ya kuwepo kwa huu wa mwili.

Bandiko lako ni la muda mrefu uliopita, lakini lipo 'deep" na linachokoza udadisi fulani wa mtu kutafuta uelewa. Sikulisoma kwa wakati wake, lakini nashukuru kupata wasaa wa kuliona muda huu.
 
Bado tu Mkuu hujapata hivyo vitu utuwekee hapa?
Ebana naona vitabu vingi sasa hivi wameviweka kibiashara zaidi mpaka ununue online ndio uweze kuvidownload usome...kipindi cha nyuma haikuwa hivi, tulijisomea vizuri tu bila kulipia but now it's business
 
Ukisha sema tuu hapo Mwanzo, teyari unategemea kuwa na Mwisho. Mungu hana mwanzo wala mwisho. Na ndio maana akili inayotambua mambo kwa dimensions za Muda (wakati) na Mahali (nafasi) haiwezi kumjua Mungu. Akili haiwezi kueleza au kuielewa infinity state. Mungu ni ROHO na KWELI alikuwepo, yupo na atakuwepo milele daima, maumbo yote yanaanzia kwake yanafikia mwisho kwake.

Mtoa mada you are very intellectual na umeeleza kitu ambacho so called intellectuals wenzako watapenda cause ina ridhisha ufikirivu wa akili lakini God exist beyond intellect. No thought can imagine God therefore no word can explain God.

In short God is felt presence in spirit and in spirit remain as secrete only to be realized in physical world but no explanations much God's reality.


Ndio maana hata Yesu alisisitiza kumuabudu Mungu kwa njia ya Roho na Kweli. Kwa sababu Mungu ni Roho, akijua akili hawezi tumika kumuabudu Mungu kwa sababu akili ajua uwongo.
 
Brother asigwa umetukatili sana kwa kutoendelea na hii thread. Binafsi nilikuwa nakufuatilia sana toka 2013 na kuna jamaa yangu mmoja anaitwa Anosigwe nilikuwa najua ni wewe ila kwa madini haya sio yule jamaa.

Hapa umejibu vizuri sana. Una uelewa mkubwa sana wa Kiroho.
 
Mtu mmoja alipinga Yesu sio Mungu. Mchungaji aliyekuwa anafundisha uungu wa Yesu akamuuliza je wewe una mtoto wa kiume,akajibu ndio. Akamuuliza , Je mwanao ni mwanaume au sio mwanaume km ulivyo wewe? Akajibu ni mwanaume km mimi. Mchungaji akajibu hivyo ndivyo ilivyo kwa Yesu. Yesu ni mwana wa Mungu hivyo nae ni Mungu km alivyo baba ake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mtoto na mtu mzima kuna utofauti lakini.
 
Hata sijaelewa umeandika nini.

Kwanza umeandika kwa makosa kibao.
 

Umetumia biblia ipi kutoa maelezo yote haya ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…