Biblia kwa Jicho Jingine


Kwakweli mkuu, kiranga yuko very zealous kuliko hata Paul. Kuna siku atakutana na Yesu na atakuwa 'chombo' kimfaacho Bwana kwa kazi ya wokovu. Tuendelee kumuombea.
 
Unajuaje una uhakika? Unathibitishaje hili ni lahakika?
Ninauhakika kama wewe ulivyo na ukakika kwamba hayupo.
Unajua kila mtu ana kitu anachokipenda na asingependa akikose kama mazingira yanaruhusu.
Wako wanapenda mziki,mpira,sinema, nk.
Na huwa hawaachi kufuatilia kwa makini habari za hicho wanacho kipenda hata kama itamgarimu hali na mali.

Sasa mimi nampenda Mungu haidhuru yupo ama la, nitatumia muda, fedha, akili na hata uhai kwaajili ya Mungu , hata kama ni hadithi za uwongo naweza kusema ni hob yangu.

Kwa hio mkuu sina hoja mbele yako ila naomba usome tena sehemu ya kwanza na ya pili ya hii mada hutakosa kitu hata cha kuendelea kujengea hoja yako ya kutokuwepo kwa Mungu.
 
Haya maswali Mpendwa kamuulize Mungu....... Maana yupo hai hajafa ...

Japo sote tunatumia imani ila imani yako naamini Ni fake kwasababu haina msingi wowote ila kuhoji tu NDO unaweza
 
Question number 7 ni UTOTO Wa hali ya Juu Brother, Try to be relevant kidgo, uliza swali la kueleweka!
 


Sasa bro kuna sehemu umenichanganya hapa kwa Lucifer ya kuwa alikuwa ni malaika. Hapa naomba ufafanuzi kidogo.

Pili hii miaka trilioni nani ameidhibiti au haya ni maneno yako ?
 
Question number 7 ni UTOTO Wa hali ya Juu Brother, Try to be relevant kidgo, uliza swali la kueleweka!

Hapo kuelewa kama hajauliza swali bali ni swali la uongo,uwezo huo hana.

Hawa wakina Kiranga wana vituko sana aisee.
 


Bro hivi MAPEPO ni akina nani na kwanini wameitwa mapepo hao akina nani ? Na hili tamko limeanza kutumika lini ?

Ila je unajua nini maana ya USHIRIKINA ?

Je kwa hoja ipi unaweza kutokea juu ya kuutenganisha UKRISTO na USHIRIKINA ?

Nipo......
 
...hicho ndio nilichojiuliza hata mm,...coz hizi story kwa waislam,wahindu,Buddha & co...ni just ubatili mtupu

Hapo mkuu haujawaweka hao wana wa Israel ambao pia hawaamini ktk muktadha wa Masiha/Masihi huyu wa Wakristu wengi

Na sehemu kubwa ya hata hizi story za mtoa mada katoa kwa hao hao na kachukua hapa na pale kwenye mapokeo, hadithi za kufikirika,kutunga za hao hao wa Israel

Kama mlivyo mshauri alete kwanza ushahidi wake na uhalali wa bandiko ili na ukiwa unagusa ‘at least’ makundi yote kwa namna moja ama nyingine na si kusema tu ukifika mbinguni ktk huo utatu unaweza kumkuta tu Yesu pekee na unajua hata huku duniani tumegawanyika sana ki iman na hata hao wenye historia hizi ‘Jews ‘ hawamkubali masiha huyo

Kwa kuongeza ufahamu na kupata picha sio mbaya nasi kujua lkn kwa kuleta kama somo nafikiri kwa maeneo kama kanisani hii mada inafaa sana maana inategemea aina ya Iman ya muhusika
 
True
 
Nadhani mkuu zitto upo correct japo utaeleweka kwa tabu niliwahi gusia hili jambo nikapingwa kabisa. Tumesahau hilo ni jina tu na kuna mahali halitumiki hivyo. Nafikiria zaidi Imani ndiyo kila kitu
Nimemjibu ki ufasaha hebu pitia jibu langu
na Bila Shaka umepata kitu/mzizi wa swali lako limekata karibu kwa kingine
 
Bro hivi MAPEPO ni akina nani na kwanini wameitwa mapepo hao akina nani ? Na hili tamko limeanza kutumika lini ?

Ila je unajua nini maana ya USHIRIKINA ?

Je kwa hoja ipi unaweza kutokea juu ya kuutenganisha UKRISTO na USHIRIKINA ?

Nipo......
MKUU hebu soma bandiko la mleta maada hapo juu.amechambua VIZURI kuhusu Mapepo na huo ushirikina
kuna tofaut kubwa sanaaa Kati ya Ukristo na Ushirikina
lakini kuna
ukaribu Mkubwa sanaaa Kati ya
Uislam na Ushirikina
 
MKUU hebu soma bandiko la mleta maada hapo juu.amechambua VIZURI kuhusu Mapepo na huo ushirikina
kuna tofaut kubwa sanaaa Kati ya Ukristo na Ushirikina
lakini kuna
ukaribu Mkubwa sanaaa Kati ya
Uislam na Ushirikina


Nimesoma ndio maana nikauliza maswali hayo.

Sasa nakuomba ujibu wewe kama unaweza au uwaulize wenzako kisha unipe majibu.

Mimi nitakuthibitishia kwanini UKRISTO ni USHIRIKINA....
 
Hongera kwa kuweza kuanzisha mada pana yenye kufikirisha sana.

Vyote naweza kukubaliana na wewe lakini hoja ya kuwa Yesu ni Mungu sitoikubali kabisa. Yesu ni moja viumbe wa Mungu waliopewa nguvu, mamlaka na utawala katika galaxy yetu na huko mbinguni ambapo yeye ndiye Mtawala.

Mungu hajawahi kuonekana na hatakuja awahi kuonekana
 
asante kwa mada mkuu, kiukweli kuna mambo mengine yanahitaji uelewa na utayari wa kiroho kuyaelewa na wala haihitaji uchambuzi yakinifu wa akili na ubongo. Wanasema Imani ni kuamini yale yasiyoonekana hivyo mi sitataka kubishana sana na fact zako bali nitaufuatilia huu uzi kama sehemu ya kuongeza maarifa na utambuzi juu ya mtazamo husika wa imani fulani. Each one must teach one tuendelee kujifunza bila kuchoka ila tusisahau kutenga muda maalumu wa kujitafakari wewe ni nani na kwanini upo kwenye hii dunia
 
Nimesoma ndio maana nikauliza maswali hayo.

Sasa nakuomba ujibu wewe kama unaweza au uwaulize wenzako kisha unipe majibu.

Mimi nitakuthibitishia kwanini UKRISTO ni USHIRIKINA....
asee sifa kubwa ya elimu
hupatikana mahali popote.
binafsi sikuwah fahamu/waza kuwa Ukristo ni ushirikina
naomba unidhibitishie coz me nimeshidwa
msaada Muungwana
 
mkuu asigwa,umeandika kitu ambacho asilimia 80 nilikua najua ila sikuweza kukielezea,na hiyo asilimia 20 umeitoa nje ya biblia ila pale kwenye setup na wale wenye roho wanne na wazee 24 uko sahihi kabisa,source yake ni biblia,nataka sana nijue source ya baadhi ya vitu ambavyo naamini sio kwenye biblia ...ukisoma kitabu cha |Joshua kinasema Mikaeli ni Amiri Mkuu wa Majeshi ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…