Biblia kwa Jicho Jingine

umenisisimua mahali
ndiyo maana nikawa nashangaa Y? ukitaja jina la YESU mapepo na mambo mabovu yanakimbia/kuweweseka?
lakini nikawa najiuliza Y? ukitaja jina la Mtume (Saw) yaani hata mapepo haya ropoki
asee hapo NIMEPATA kitu
Kwanini Yesu na sio Yehova?
 
Acha ujinga wewe. Ni jina linaloponya au mtu mwenye pepo ndie anaeweza kumtoa mwenye pepo mwenzie kwa kutumia JINA hilo. Kama kweli hilo jina ndilo linaloponya, hebu mchukue muumini yeyote hapo kanisani mwambie atumie hilo JINA kumtoa pepo mtu mwenye pepo kama litatoka. Wanaotoa mapepo wana siri nzito na wala sio hilo jina kama unavyodhani.! Acha kudanganya bhaana. Kuponya mtu au kukemea pepo ni mpaka mtu aliyepakwa mafuta, na kwenye hii dunia ya leo hakuna, wote ni wadanii tu wanatumia jina la YESU vibaya na kitapeli watu eti linaponya.
 
UNASALI DHEHEBU GANI??!!
 
Nimeshindwa kuimaliza sababu nimesoma aya kadhaa zote hizo kila unachoeleza hakimo kwenye biblia isipokuwa yale ambayo hayajatajwa kwenye biblia unayaweka utakavyo wewe.

Nianze na uumbaji hakuna sehemu inayosema kama dunia ndio ilikuwa ya kwanza kuumbwa ama sayari nyingine sasa ukitumia maelezo ya uumbaji wa dunia kuhalalisha kauli yako eti alikuwepo Mungu pekee na hakukuwa na kitu kingine unadanganya? Kwanza nani anaejua muumbaji wa sayari nyingine na vilivyomo ni nani? Pengine kuna Miungu wengi tu na kila mmoja alijitengenezea sayari yake kwa Muda wake na kila mmoja anaongelea namna alivyotengeneza ya kwake mfano mimi nikieleza namna nilivyotengeneza nyumba yangu haimaani hakuna nyumba nyingine na kama zipo haimaanishi mimi ndie mjenzi wa nyumba zote ama haimaanishi nilipoanza kujenga basi duniani hakukua na nyumba yoyote hapana but nitazungumzia nyumba yangu tu ambayo haikuwepo kabla ya mimi kujenga.

Lkn pia kumbuka biblia inasema roho wa bwana alitulia juu ya vilindi vya maji kabla ya kutamka na iwepo nchi kavu je hayo maji aliyatengeneza nani? Mbona maji yalikuwepo?
 
Lkn pia biblia haisemi wazi kama Mungu alianza kama Mungu mmoja baadae akajigawa katika sehemu tatu ama ni Miungu watatu waliamua kuungana na kuwa Mungu mmoja mwenye nafsi tatu pia yawezekana tangu kuanza kuwepo kwake alianza akiwa Mungu mmoja mwenye nafsi tatu.

Nadharia zote hizi tatu pengine na zaidi zinawezekana na kwakuwa biblia haijasema chochote ni bora ukakaa kimya kuliko kujitungia mambo yako mwenyewe huku ukiibebesha ushahidi biblia ambayo haijasema hivyo.

Nikukumbushe tu mpaka sasa wanasayansi wamegundua kwamba kuna sayari kama 40bilioni zinazofanana na dunia lkn sababu ya umbali bado hawajajua kama kuna maisha huko ama kuna viumbe wanaishi huko angalau tukikutana nao viumbe wa huko na wakatwambia habari ya Mungu wao inafanana na ya Mungu wetu tutaamini kuwa alieumba dunia na wanadamu ndie aliewaumba wao pia na tutajua ni sayari ipi ilianza ya kwetu ama za kwao.

Vitabu vya roho ya unabii (e.g. white) vinasema dunia ndio sayari ya mwisho mwisho kujengwa/kuumbwa na shetani alijaribu kutoshawishi viumbe wengine wamuasi Mungu lkn wakakataa mwanadamu alivyokubali akakaa nae huku.

Kwenye biblia mwanzo wanasema na tumfanye mtu kwa mfano wetu! Hii inatoa fikra pia huenda kuna mtu mwingine aliumbwa hapo kabla lkn si kwa mfano wa Mungu so punguza kujitungia mambo.
 
mbona muendelezo haupo kiongozi
 
HUWEZI kumfikiria MUNGU kwa fahamu na Utashi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…