Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Wazungu wameendelea na wana utamaduni ambao wote leo hii tunauiga au tunataka kuuiga lkn kama ulikuwa haufahamu Wazungu wameendelea kwa sababu ya UKRISTO, yaani mfumo wa Kizungu ni kwamba uliongozwa na mafundisho ya Biblia na ndiyo maana wamefikia hapo walipofikia, ukisikia wakisema Western Civilization maana yake ni kwamba ni Ukristo na Biblia!
Hata Ubepari au Capitalism kama ujulikanavyo kwa Kizungu umetokana na Biblia, bila ya Ukristo na Biblia hakuna Capitalism!
Sheria zote za Kizungu ambazo leo hii tunaziiga kama Common law ya Uingereza, French law, German law ambayo ndiyo inatumika Ujapani, Uchina na kwingineko imetokana Biblia na Ukristo, hivyo tukitaka kuendelea kwenye Dunia inayaofuata na kuongozwa na mfumo wa Kizungu ni lazima tuiishi Biblia au tuchanganye lkn ni lazima tuielewe Biblia na mafundisho yake na kuyaishi na siyo kuishia kukariri vifungu tu, bila ya hivyo tutabakia kuwa wa mwisho siku zote labda mpaka Kimondo kishuke Duniani na kuua sehemu kubwa ya Dunia na kutoa nafasi kwa Ustaarabu mwingine kunyanyuka lkn mpaka hiyo siku ifike Ukristo na Biblia ndiyo way to go!