Bidco wazindua kiwanda kikubwa cha kisasa cha sabuni kwa ajili ya EAC

Bidco wazindua kiwanda kikubwa cha kisasa cha sabuni kwa ajili ya EAC

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Lengo lao ni kutumia bilioni 200 za Kikenya kuzindua viwanda kote nchini, huku wakitanua. Hapa wametumia bilioni 2 za Kenya kuzindua hiki kiwanda kikubwa cha sabuni. Nchi ya viwanda, hongera kwa wahusika.

----------------------------------------------------

Bidco has opened a Sh2 billion detergent factory at its Thika headquarters.

The firm says the new facility — to initially produce 3,000 tonnes of detergents per month — is meant to meet growing demand for powdered detergent across East Africa.

The investment is part of Bidco’s Sh200 billion expansion plan that will see the firm produce new products as it seeks to grow its revenue towards the billion dollar mark.

“This is a state-of-the-art facility, completely computer controlled. We have remarkable options in the kind of products we can create and this is good for the consumer,” said Bidco Africa chief executive Thiagarajan Ramamurthy.

Bidco opens Sh2bn detergent plant
 
Sisi magwanji ya kigoma yanatutosha mkauzie huko sudan kusini
 
sasawa! hatua nzuri...kilichobaki sasa ni kupiga Unilever products marufuku ili tutumie zetu wenyewe wana EAC...heri sabuni za toka Uganda, Tanzania ama Rwanda kuliko hizi za wazungu...
Hehe uniliver haiundi bidhaa zake Kenya?kina blueband,omo,geisha,royco etc?
 
sasawa! hatua nzuri...kilichobaki sasa ni kupiga Unilever products marufuku ili tutumie zetu wenyewe waKENYA...heri sabuni za toka Uganda, Tanzania ama Rwanda kuliko hizi za wazungu...Nimekusaidia kuedit Tanzania is and will never be friends with Kenya. Tuendelee tu hivi hivi na biashara za kuviziana. Kenyans are not people to put your trust on hata kwa bahati mbaya
 
sasawa! hatua nzuri...kilichobaki sasa ni kupiga Unilever products marufuku ili tutumie zetu wenyewe wana EAC...heri sabuni za toka Uganda, Tanzania ama Rwanda kuliko hizi za wazungu...
Tunaomba mtusaidie, vipi msimamo wa Kenya kuhusu EPA, bado ni uleule au umebadilika?
 
tanzanzania vip kila cha vijiti vya kuchokonolea meno kilishaanzishwa au bado
 
sasawa! hatua nzuri...kilichobaki sasa ni kupiga Unilever products marufuku ili tutumie zetu wenyewe wana EAC...heri sabuni za toka Uganda, Tanzania ama Rwanda kuliko hizi za wazungu...
Ninyi kwa kuwa vinchi vyenu ni vidogo vidogo basi hamna mnachofikiria nje ya hapo. Tanzania ni kubwa na ni nchi mwanachama wa jumuiya kubwa ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC) na ushirikiano wa kibiashara ni mkubwa kuliko hicho kijumuiya cha EAC.
 
Haijalishi mmiliki bora bidhaa zinaundiwa Kenya na kazi kwa wakenya plus ushuru unalipwa Kenya.....hizi mentality tuache jameni
Kazi gani ?, Hivyo vibarua kama manamba kwa wahindi ndo unaita kazi. What a disgrace to the black race.

- Viongozi wa Africa wafikirie, wawezeshe vijana wao mbona wana uwezo mzuri. Kwani starting a company like BIDCO needs rocket science ?

- Serikali za Afrika zifute gharama za usajili wa makampuni kwa graduates au ziweke affordable charges
- Serikali zitenge maeneo maalum ya graduates kujaribu their own ideas (An OK to fail Start ups Economic Graduate Zone ) na wapewe msaada bure wa kisheria na serikali kama mlezi
- Wakishaanza kumake profit wapewe TAX HOLIDAY hata ya miaka 5.
Vinginevyo tutaendelea kutumikishwa na wahindi maisha yote kama mazwazwa huku tukichekelea kama mazuzu
 
hata usiende kule....viongozi wameshapigia wazungu magoti...smh
Sasa itakuwaje Kama kuna mgawanyiko wa nchi za EAC juu ya EPA na upigaji marufuku wa nguo za mitumba?, kwa sababu Rwanda na Kenya wanakubaliana na EPA, Uganda na Tanzania wanapinga, na kuhusu nguo za mitumba, Kenya imeamua kubadili mawazo yake baada ya kutishiwa na USA kwamba nchi zitakazo zuia ununuzi wa nguo za mitumba zitatolewa kwenye mkataba wa AGOA, wakati nchi zingine zilizobaki zimeshikilia na uamuzi uliofikiwa na EAC wa kuzuia nguo za mitumba mara tu viwanda vya nguo vitakapoimarika ndani ya EAC, hili limekaaje hasa kwa Kenya?
 
Ninyi kwa kuwa vinchi vyenu ni vidogo vidogo basi hamna mnachofikiria nje ya hapo. Tanzania ni kubwa na ni nchi mwanachama wa jumuiya kubwa ya maendeleo kusini mwa Afrika(SADC) na ushirikiano wa kibiashara ni mkubwa kuliko hicho kijumuiya cha EAC.
lol! tanzania ni kubwa sio? i guess that explains why Kenya is East Africa's largest economy...ndugu, uchumi wa Nairobi pekee yake inameza uchumi wa tanzania...😀😀😀
 
Kazi gani ?, Hivyo vibarua kama manamba kwa wahindi ndo unaita kazi. What a disgrace to the black race.

- Viongozi wa Africa wafikirie, wawezeshe vijana wao mbona wana uwezo mzuri. Kwani starting a company like BIDCO needs rocket science ?

- Serikali za Afrika zifute gharama za usajili wa makampuni kwa graduates au ziweke affordable charges
- Serikali zitenge maeneo maalum ya graduates kujaribu their own ideas (An OK to fail Start ups Economic Graduate Zone ) na wapewe msaada bure wa kisheria na serikali kama mlezi
- Wakishaanza kumake profit wapewe TAX HOLIDAY hata ya miaka 5.
Vinginevyo tutaendelea kutumikishwa na wahindi maisha yote kama mazwazwa huku tukichekelea kama mazuzu
NAKUPINGA KWA HOJA YA KUWA GHARAMA ZA USAJILI ZA KAMPUNI NI NAFUU KULIKO HATA GHARAMA ANAYOTUMIA KUFANYA MATUMIZI MENGINE AMBAYO SI YA LAZIMA,GRADUATE WENGI HAWANA MALENGO YA KUANZIA CHINI,WANAPENDA MANAGERIAL POST WANAPASWA KUANZIA DAY ONE YUKO CHUO AWE NA MALENGO HAYO.
 
Back
Top Bottom