Biden: Putin alijidanganya anaweza kusambaratisha NATO

Russia anahaki zote za kulinda mipaka yake zidi ya magaidi wa nato
Hivi kichwani una akili wewe kweli? au hujui ulichoandika?
Yaani nchi ingine ivamie nchi nyinge yenye uhuru kama nchi ingine kisha useme inalinda mipaka yake?
Unajua maana ya mipaka kweli wewe?
Bora ungekaa kimya kuficha umbumbumbu wako!
 
Sawa walivamia.

Kwa hiyo kama marekani walivamia nchi hizo maana yake kwamba na putin ni halali kwake kuvamia ukraine ?

Akifanya marekani dhambi na sisi inakuwa halalia kwetu kwa vile kafanya marekani ?
Siasa za dunia hizo, mwenye nguvu (Wamaghribi) wanamiliki vyombo vya habari, hufanya unyama wautakao, wanatumia habari kuhalalisha unyama huo, ila wengine wakifanya (Urusi + China) wanasema ni ushenzi .....
Wanawanyooshea kidole kimoja vyengine vinawaelekea wao wenyewe.

Hamna linalowakera zaidi ni
A: Wazungu wenzao (na pia walitaraji kiwatumia)
B: Mtendaji si miongoni mwao (Wamaghribi / Nato)

Jiulize Kwa nini Marekani keshatimuliwa na Bunge la Iraq ila kanh'ang'ania Bado hataki kuondoka.
Kwa mualiko wa nani yupo Syria?

Yoote hayo , siungi mkono vita vyovyote ila ukweli ni huo. Mwalimu apige yeyé tu, akichapwa inakuwa taabu
 
NATO washirikiane kwanza na US kumtandika NK halafu ndio waende kwa Putin.

Halafu walishindwa nini kumtandika NK?
🤣🤣🤣🤣🤣 Jana North Korea kafanya jaribia la kombola la masafa marefu. USA na mazezeta wanzake wamechanganyikiwa.

USA na mazezeta wanzake wanaleta janja ya nyani, wao wawe na siraha imara na kutunga sheria za kifala kuzuia watu wengine wasiwe na siraha ili wao waendelee kutawala kwa uhonevu. PUMBAVU ZAO
 
Biden anazeeka vibaya.
Hahaaaa!!leo hujamsikia putin ameamua kubadirisha gia angani!!kuwa malengo yake ya awamu ya kwanza sasa yametimia, nguvu zake anahamishia kuyakomboa majimbo ya DONESK, na luhanski!! Wataalam wa mambo ya siasa wanahisi kuwa imetokana na kukutana na nguvu ambayo hakuitegemea toka kwenye jeshi la ukraine!!
 
Hizi nyuzi humu zingekua na watu kama wewe zingekua zamaana zaidi
%1000000 upo sahihi
 
Hivi kichwani una akili wewe kweli? au hujui ulichoandika?
Yaani nchi ingine ivamie nchi nyinge yenye uhuru kama nchi ingine kisha useme inalinda mipaka yake?
Unajua maana ya mipaka kweli wewe?
Bora ungekaa kimya kuficha umbumbumbu wako!

Marekani aliivamia libya sirya yemen afaghanistan seribia iraq izo zote zilikuwa nchi huru

wewe ndiye huna akili
 

A joke from Moscow: "According to Putin the special military operation is really a conflict btw Russia and NATO about World dominance. Whats the situation now?" "Russia has lost 15000 troops, 6 generals, 500 tanks, 3 ships, 100 planes and 1000 trucks. NATO hasn't arrived yet."
 
Hivi hawa Marekani mbona waliivamia Iraq na Afghanistan? au zile hazikuwa nchi huru?
Nagaidi wao na wao wakuwa wafadhili wao wa nchi hizo walivamia Trade centre Marekani na kuiporomosha wasingevamia au kuwafadhili Marekani asingewavamia
Mbona Tanzania mmarekani hajatuvamia
 
... Marusi huwa yanajisifia yalikufa 20 million during WWII kana kwamba kufa kwa wingi ni sifa. Modern technology focuses on minimizing not only deaths but also injuries. Majenerali wanauliwa kama kuku halafu majitu yanajisifia! Joe Biden amewasili Poland jioni hii to assess the situation before taking the necessary actions.

Anga lote Eastern Europe is fully controlled na nchi washirika. The fascist days are numbered.
 
Nagaidi wao na wao wakuwa wafadhili wao wa nchi hizo walivamia Trade centre Marekani na kuiporomosha wasingevamia au kuwafadhili Marekani asingewavamia
Mbona Tanzania mmarekani hajatuvamia
Mbona Tanzania mrussia hajatuvamia?
 
Hiki kizee kinaweza kufa mapema , kwa umri wake na hizi changamoto za jemadari Putin
 
Biden hana uwezo wa kupeleka askari hata mmoja kwenye ardhi ya Warusi, wanacho weza ni kupeleka silaha Ukraine, na pale Ukraine yatabaki magofu, hata lile anga la saudi Arabia ni silaha za mmarekani lakin Drone na rockets za Houthi zinapiga kama kawaida
 
[emoji1][emoji1][emoji1] kwa kukufariji tu NATO hua wako vzr,Ila field hua hawakanyagi ng'o.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…