Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Katika vitu vilivyompa wakati Mgumu Trump, ni jinsi alivyoshughuliia Covid-19, Democrats walimshukia hatari kinoma.
Joe Biden kwenye kampeni alisema " any one who is responsible to these many death , should not remain as a president of United States" akaongeze kwa kusema " I will shut down the virus not the country". Na kweli wamarekani wakampa kura za kutosha.
Chini ya Trump, Covid-19 ilikuwa janga jipya halikumuaga mtu, ila jamaa alipambana, rapid test, ventilators, masks vyote vilitengenezwa chapu,Chanjo zote za Covid-19 kwa Marekani zimetengenezwa under Trump, Mpaka Trump anaachia ofisi wamarekani waliokufa kwa Covid-19 Ni 400,000.
Biden kakuta Chanjo, kakuta kila kitu full ventilators, PEP, masks etc lakini ndani ya mwaka vifo vya Covid-19 ni 402,154, more under Trump.
Sahivi Marekani wanakachukia aka kababu hatari, kamefeli kila mahari, kwenye pandemic, kwenye withdraw Afghanistan, kwenye inflation.
2024 Trump atashinda Tena uraisi