pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Zimejaa mitaani zinauzwa wazi kweupeeeNaam. Nazo haziruhusiwi.
Kuna bidha fake chungu mzima zinaingia kila kukicha ni bidhaa fake zipi labda utaje mojamoja4. VITU BANDIA
Bidhaa feki na zile za magendo hutakiwi kuziagiza kuja Tanzania. Zitazuiliwa kwenye ukaguzi au zitateketezwa kwa mujibu wa sheria na taratibu bila fidia yoyote.
Kuna used tyres nyingi tu huko mitaani zinakuja kwenye containers5. MATAIRI CHAKAVU
Kuagiza na kuingiza matairi ya magari binafsi au ya abiria ambayo yameshatumika ni marufuku kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi.
Zanzibar ni nchi inayo jitegemea kwa mambo, isipo kuwa mambo ya muunganoHivi marufuku hiyo IPO mpaka Znz au bars tuu maana bidhaa ya tairi pale zenji n used tuu
HahaaaaaaaaaaKwaiyo na vile vipingu wanavyofungana watu wakati wa sex na zile mikanda navyo haviruhusiwi?
BinadamuJe, ni bidhaa gani nyingine unazozifahamu zisizoruhusiwa Tanzania?