Bidhaa adimu maishani

Kwa hiyo ndo unataka kusemaje hapo sasa The Boss????

imagine wewe ni single una shida ya mpenzi.....
halafu unakumbwa na matatizo
mfano yale mabomu ya gongo la mboto.....
hivi utakumbuka kuwa una shida ya mapenzi????

mapenzi ni shida ya wenye maisha yao tayari
watanzania wanaoishi kwa chini ya dola moja...
shida zimewazunguka mpaka mda wa kufikiri mapenzi hawana....
 
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.

Nimekuelewa na ninakubaliana nawe Naz, lakini pengine ungesema penzi la dhati ni kitu adimu na wengine wangekuelewa zaidi.

Ukiwa katika penzi la dhati, unapenda na unapendwa, mengine yote yanakuwa rahisi. Hata kama uko kwenye shida, penzi litakupa utulivu wa kutafuta ufumbuzi. Vile tu kupata mtu wa kukuliwaza na matatizo yako, kukupa ushauri, kukuunga mkono na kukupa moyo hii inapunguza tafrani na kukupa nguvu ya kukabili matatizo yako ikiwemo maradhi.
 
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.
V'p na black dimond thaman yake waijua?
 
u are right love is priceless; true love never dies!!!

and u never realsie the worht of true love until u loose it....jamani kupenda na kupendwa ni priceless; its de gratest gift from de Almighty above...kwa kweli mh mh ......love is eternal...

Jamani tusichanganye vitu viwili love n sex...sio lazima love n sex ziendane pamoja.....kwanza sex ni neno chafu kutamka kwenye love....sex is something u pay for...in love there is only love making.which is also eternal and pure!!!

Jamani love.tuyaache tu..........when you are loved it makes u feel u are on top of the world!!! u feel that the whole world is your...!!!kupenda ahhhhhh its lovely...

Hela, nyumba, gari, kazi these are nothing compared to love.......

hahaha msitake niseme zaidi.......
 
Penzi la dhati ndiyo bidhaa adimu kuliko zote maishani. Haiuzwi kokote, ukiipata unaweza usiithamini, thamani yake ukaiona ukisha ipoteza.
Ukipendwa kwa dhati nawe thamini penzi unalopewa.

ni kweli, naungana na wewe. dah, naacha nimekumbuka mbali.
 

Mh Dena mdogo wangu sema unapenda ila ulienae hana muda wa kukupa zawadi, mie mwenzangu zawadi muhimu kwangu na vipocket money vyaa hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…