Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Habarini wapendwa wana Jf, natumai mu wazima wote na mwaendelea vyema.Nisipoteze muda wenu mwingi hebu niwajuze bidhaa adimu duniani.
Katika dunia wengi wetu tunaishi na kununua bidhaa mbalimbali na nyingi tunazinunua kwa kupenda au zingine kwa kutokupenda ila zatuhitaji tununue, lakini pia zipo bidhaa tunazonunua kwa kuzifahamu na zipo ambazo bila kuzifahamu lakini twazinunua. mfano ukaenda dukani kununua mafuta inamanisha wayafahamu lakini ukaenda pharmacy kununua dawa wengi wetu tumetajiwa tu na dokta hata hatuzifahamu.
BACK IN THE BUSINESS. Duniani tunaishi kwa malengo na sababu.Duniani tuna muda maalum wa kuishi na tunapita. HIVYO MUDA unaoishi duniani ndio bidhaa yenyewe ambayo uko nayo Mungu amekupa kama zawadi.Walosema muda ni mali hawajakosea ni mali kweli. Unaweza kutajirika mno kwa kiutambua thamani ya muda wako,maana wengi mno wana uhitaji na muda wako either kwa wewe kujua au kutokujua.Hata miaka yote unayoenda shule mwisho wa siku utakuja kulipwa kwa muda wako japo wewe utasema ujuzi wako lakini si kweli walipwa kwa ajili ya muda wako wanaokutumia,kila mfanyakazi unaemjua wewe analipwa kwa ajili ya muda.
Muda unanunuliwa kwa pesa nyingi sana kwa hakika,ukitaka kujua hilo tazama haya mambo hapo chini;
1.Mgonjwa anapohudumiwa kwa pesa nyingi mno hospital ili asife ,anapambana aweze kupata muda zaidi duniani.
2.Madada wanavyojichubua kwa hela nyingi si kwamba wanatafuta uzuri la hasha wananunua muda uliopita
3. Maboss au waajiri wanavyolipa mishahara,maana yake ni kuwa wanalipa muda wa wafanayakazi wao
Hivyo nastaajabu mno napomuona mtu muda wake anaona si chochote wala lolote na kuamua kumpa tu mtu kiholela holela au nimpe mtu muda wangu halafua asiuthamini,ndugu tumia muda wako vyema na tazama wa kumpa muda wako.