Bidhaa ambazo chama cha nasa kimeomba wafuasi wake kususia

hussler

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
78
Reaction score
33
Equity bank
Nation newspaper.
Standard newspaper.
Ntv
K24 TV .
Vivo energy
 
Equity bank
Nation newspaper.
Standard newspaper.
Ntv
K24 TV .
Vivo energy
Vivo energy ni kinywaji? Mbona sijaona ile maziwa yao nilikuwa natumia before Azam took over me. Brookside.
 
Impact itakuwa nini kwa kufanya hivyo?
 
Wanasiasa wanaweza kukuambia umnyime unyumba mmeo au mkeo huwa akili zao hazija Balance sawa sawa.
Mkuu
Mbona hili llishawai kufanyika hapa bongo..mama Sophia simba aliwashauri wanawake wasio ipigia kura ccm wanyimwe unyumba!!sasa Ni hatari sana.
 
Mkuu
Mbona hili llishawai kufanyika hapa bongo..mama Sophia simba aliwashauri wanawake wasio ipigia kura ccm wanyimwe unyumba!!sasa Ni hatari sana.
Yah sawa nimekumbuka kweli, ukiwa na ndugu mwanasiasa usimwamini sana hata ukisikia kafa usiamini sanaa.
 
Kama samaki hawamo kwenye orodha atakuwa mnafiki....!
 
Uhuru Kenyatta apige marufuku bidhaa mbadala zinazotoka nje ya nchi kuingia Kenya tuone watafanyaje !
 
Vivo energy ni kinywaji? Mbona sijaona ile maziwa yao nilikuwa natumia before Azam took over me. Brookside.
Brookside inamiliki 55% solo la maziwa Kenya. Hapa naona KCC ndio itafaidi.
 
Brookside inamiliki 55% solo la maziwa Kenya. Hapa naona KCC ndio itafaidi.
Na vivo energy ni ya nani? Energy za Mo na Azam zitapata soko kubwa huko walikosusa, wakizipeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…