Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana wakuu.