Bidhaa gani za kutembeza ambazo ni aghalabu kuzikuta maeneo mbalimbali

Tembeza mchuzi wa pweza
Atembeze

Chips

Bata wa kuchoma

Kuku wazima kwenye matenga

Mchele uliopimwa kwa kilo akiweza na maharage

Unga uliopimwa kwa kilo, sukari, ngano

Awe anatembeza vitanda na masofa mtaani

Mwisho achukue kofia, vitenge na mashati ya CCM atembeze mtaani kipindi hiki cha uchaguzi atauza sana
 
Huyu nae Ka mwangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…