agrib4life
Member
- Jul 31, 2022
- 72
- 88
Naombeni wazo la bidhaa ipi inauhitaji mkubwa katika jamii ambayo matumizi yake hayakwepeki Kama CHUMVI
Je ni bidhaa gani yenye high demand mtaani au madukani au magengeni ambayo haihitaji mtaji mkubwa kuifanya (kusambaza) kwa wateja.
At least faida ikiwa hata miatatu(300) Hadi 500 kwa kila piece sio mbaya kwasababu kwa siku hata nikiuza piece 50 sio mbaya maana kuingiza faida ya 15000 sio mbaya kulingana na juhudi zako za kutafuta wateja.
Waungwana je, ni bidhaa gani hiyo kila siku naumiza kichwa sipati jibu nimefikiria sana kwakweli naombeni mawazo yenu katika hili naamini wengi litatusaidia.
Asanteni sana [emoji120][emoji120] karibuni kwa maoni na mawazo yenu.