Bonge bidhaa za SA zilinalipiwa ushuru ila ukipata hiyo karatasi ya SADC kutoka kwa wauzaji waliokuuzia bidhaa hukuukifika watakukadilia kutokana na iyo document na pia ukumbuke kule ile 14% VAT uliyochajiwa ukinunua vitu vipya kule ukifata taratibu za kugonga custom ya exit boarder na kuonesha huku Tanzania umelipa kodi kule ukirudi VAT wanakurudishia pia kuondoa usumbufu nikuongea na agent kule yeye anachukua 4% VAT wewe anakupa 10% ya VAT yote katika manunuzi yako anafatilia ikitoka a anakupa uwe Tanzania au SA..VAT sio kubwa inategemeana na bidhaa yenyewe kasoro pombe tuu ndio 100% VAT.