Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua
Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote;
Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote;
- Zanzibar ndio wana adhirika zaidi na huu utaratibu kwani Watanganyika hawaendi kwao kununua bidhaa ambapo soko hilo huru lingewasaidia sana kukuza Uchumi wa hivyo visiwa
- Kwa Tanganyika hii imeendelea kuwa Kero kwani wafanya biashara wachache ambao ndio wananunua bidhaa huko; huishia kukutana na mkanganyiko wa kodi usio eleweka.
- Inawafanya Watanganyika wasione umuhimu wa Muungano