Aisee usimlaumu huyu bwana, hata mimi nimekua na post nyingi sana za photo lakini nashindwa kuzipandika. Nafikiri mods wanastahili kutoa elimu juu ya hili. Itakua vyema kama uko safi katika kubandika Picha ukampa tusker ni tusker, a no Safari ni safari kaelimu kidogo