ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu
2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi hauhitaji kufungua duka hizi unatembea nazo kwenye minada au unategemea msimu wa mavuno vijijini huko.tena ili kuwapatia jaza movies kwenye laptop akinunua flash unamtia movie na miziki.
Kama kuna bidhaa nyingine ambayo ina faida na iko hot kwa dunia ya sasa ongezea kwenye list tuijue.ila usitaje kete za bangi hio biashara huwezi kuwa huru kutembea nazo ukiwaonyesha watu.