ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asante mkuu max..nimechoka kusubiri kuonewa huruma ya kuwekwa kwenye madokezo kila kukicha kumlalamikia Head of depart ....na miaka hii miwili ijayo kisiasa discharge haina ishu watu wana mipango ya kuomba kula so stori za flow hawataki kuzisikia...hapa ni kujiongeza tu...kila nikifikiria makodi ya fremu kichwa kinakataa kinasema tembea one to one fuata maokoto yalipo3. Jewelries mfano heleni, saa, pete nk.
4. Accessories mfano chaja makava nk
5. Mavazi kama boxer, mkanda, sox, nk
Hahaha kama una picha zake ziweke hapa mkuu..bidhaa gani hio au kifaa gan cha kutoa huduma kipo portable na hukosi watejaKuna vingine haviandikiki
Ubarikiwe mkuu ...ila bora pafyumu ika kwa vipodozi naona limzigo litakuwa zito sana naonaga majamaa zetu wa kigoma wale wa mtaa kwa mtaaVipodozi, pafyumu, vikiambatana na ujuzi wa kuchora kucha
Wanaweka zile automated gauges siku hizi. Sijui wanataka tukale wapi.Asante mkuu max..nimechoka kusubiri kuonewa huruma ya kuwekwa kwenye madokezo kila kukicha kumlalamikia Head of depart ....na miaka hii miwili ijayo kisiasa discharge haina ishu watu wana mipango ya kuomba kula so stori za flow hawataki kuzisikia...hapa ni kujiongeza tu...kila nikifikiria makodi ya fremu kichwa kinakataa kinasema tembea one to one fuata maokoto yalipo
Mambo yetu yale nk😁Hahaha kama una picha zake ziweke hapa mkuu..bidhaa gani hio au kifaa gan cha kutoa huduma kipo portable na hukosi wateja
Sure .flash hapo umelenga..nataka zile bidhaa ambazo profit unaweza make kuanzia 5000 kwenda juu...tena nataka niwafuate shamba kama hana hela anipe jogoo na mtetea wake nimuachie flash..mkuu bora wewe hata ukiamua kuwafanyia diagnosis magari yao ya umeme kwa kutumia PC unapiga na hv uko town..Wanaweka zile automated gauges siku hizi. Sijui wanataka tukale wapi.
Anzisha kijiwe man, mjini kuna flash GB32 za elfu 8. Ukienda kuwapa wa elfu 12 unatoboa.
Zipo za GB16 bei ndogo zaidi.
Mambo yetu yale nkHahaha kama una picha zake ziweke hapa mkuu..bidhaa gani hio au kifaa gan cha kutoa huduma kipo portable na hukosi wateja
Tuoneshe😀HATA MIE BIASHARA YANGU NIPO NAYO MUDA WOTE POPOTE.
Watu wa Dar bahili hao hafu kila mtu anajiona mjanja.Sure .flash hapo umelenga..nataka zile bidhaa ambazo profit unaweza make kuanzia 5000 kwenda juu...tena nataka niwafuate shamba kama hana hela anipe jogoo na mtetea wake nimuachie flash..mkuu bora wewe hata ukiamua kuwafanyia diagnosis magari yao ya umeme kwa kutumia PC unapiga na hv uko town..
Mambo yetu yale nkHahaha kama una picha zake ziweke hapa mkuu..bidhaa gani hio au kifaa gan cha kutoa huduma kipo portable na hukosi wateja
HATA MIE BIASHARA YANGU NIPO NAYO MUDA WOTE POPOTE.