T Thegame JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 2,273 Reaction score 2,398 Jan 4, 2015 #1 Wakuu naomba kwa wale wenye uzoefu mtupatie mauzoefu hapa! Huko China kuna bidhaa gani ambazo naweza kununua na nikaja bongo nikapiga hela ya maana? Unafuu wake ukoje kwenye isue ya kodi?
Wakuu naomba kwa wale wenye uzoefu mtupatie mauzoefu hapa! Huko China kuna bidhaa gani ambazo naweza kununua na nikaja bongo nikapiga hela ya maana? Unafuu wake ukoje kwenye isue ya kodi?