Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Wazo zuri mkuuVinyago vina maslahi zaidi
.
Mikanda nahisi kama haitakuwa na soko sana mkuu ila shuka na shanga labdashuka za Masai,mikanda ya Masai,shanga za Masai.
Nadhani nchi za ulaya hawatumii ugali, hiyo sembe itakuwa na soko kweli?Sembe ya bakhresa utashambuliwa kama Mpira wa kona
Wapo waafrika wengi wanaotamani sembe ya nyumbani believe me kuna jamaa alileta container liliisha kwa siku mbili tu na hakuleta tena sijui kwa niniNadhani nchi za ulaya hawatumii ugali, hiyo sembe itakuwa na soko kweli?
Hapo nimekuelewa mkuu. Ngoja nifikirie namna ya kupata soko la Waafrika hukoWapo waafrika wengi wanaotamani sembe ya nyumbani believe me kuna jamaa alileta container liliisha kwa siku mbili tu na hakuleta tena sijui kwa nini
Exportation siku zote inalipa zaidi kwakuwa unaleta pesa za kigeni nchini pia ina mchango mkubwa katika kukabiliana na upandaji wa dollar dhidi ya shilingi. Maoni yako mkuu?Naomba nikuulize. Kwa nini unataka kuuza ulaya?
Exportation siku zote inalipa zaidi kwakuwa unaleta pesa za kigeni nchini pia ina mchango mkubwa katika kukabiliana na upandaji wa dollar dhidi ya shilingi. Maoni yako mkuu?
Nina uzoefu wa biashara hapa nchi ambazo ninazifanya mpaka hivi sasa.Una experience ya ku run biashara yoyote ndani au ya nchi au ni biashara ya kwanza unayotaka kuanza?
Maeneo hayo kuna waafrika wengi mkuu?Ukifanikiwa kupeleka unga birmingham na Dallas unatoka.( Wa ugali)
Yap wapo wengi sana.Maeneo hayo kuna waafrika wengi mkuu?
Ngoja nijaribu kutafuta connection huko mkuuYap wapo wengi sana.