INAUZWA Bidhaa Used Kwa Bei nafuu (Mbeya) Uyole

Joined
Dec 13, 2013
Posts
8
Reaction score
15
Kwa maswali na maongezi zaidi nitafute kwenye number 0686819779..
Gharama za usafiri ni juu yako..
Naviuza sababu naamia Arusha na sioni sababu ya kusafiri navyo itanicost mno bora nkanunue vipya mkoani..
Breakdown ya bei zake
1. Mini Fridge ( inafanya kazi 100% ) bei sawa na bure - 180,000/=
2. Kitanda 5x6 cha chuma na godoro lake la inch 3 - 300,000/= vyote
3. Sofa Set Mbili Za Chester - 380,000/=
4. Coffee Table Ya Sebleni yenye kioo chake kwa juu - 120,000/=
5. Dining Table Ya Watu Wanne - 350,000/=
6. Bed side table - 60,000 kwa moja
7. Shoerack - 80,000/= tu
8. Tv showcase - 130,000/=






















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…