Shukran mkuu tuko pamoja katika kupambana na utamduni wetu wa afrikaAhsante kwa Huduma Comrade.
Vyombo vya asili kama hivyo vitasaidia kupunguza kipenyo cha Maambukizi ya magonjwa yaso ya kuambukiza (Non-communicable diseases, NCD's) kama vile Kansa na kadhalika.
Tunabela, kula vyakula katika mifuko ya plastiki, nailoni, sahani/vikombe vya mifupa na orodha inaendelea...Utamaduni ambao mizizi yake siyo ya Nyumbani. Ni hatari sana kwa usalama na siha bora kwa Utamaduni wetu.
Turejee Afrika. Tupende, Tuuishi vyenye nembo za Kikwetu.
Utamaduni Ni Uhuru.