Matokeo ya nchi zinazoendea ikiwemo tanzania kuamua kutokuzalisha bidhaa zake yenyewe na kukimbilia kuagiza tuu bidhaa feki za China... ni sababu kubwa na ya msingi inayosababisha mfumuko wa bei na umaskini. Najua wewe pia na shuhuda kwa kuwa na namna moja au nyingine umewahi kuzitumia bidhaa za china tena nyingi zikizalishwa kienyeji hapahapa tz....inasikitisha. angalia Mfano wa bidhaa nilizotumia za kichina na matokeo yake.
Viatu vya mtoto vya elfu 10 vimedumu siku mbili
Kabati la kichina laki 3 limedumu mwaka 1
Calculator aina ya casio elfu 25 imedumu siku 3
Chupa ya chai elfu 30 imekaa miezi 2
blender kachine ya elfu 40 imedumu mwezi 6
meza ya kioo ya laki na ishirini imekaa 1 year.
and much more....
hoja sasa kwa nini watengeneze bidhaa feki hata wanadai wanawezapia kutengeneza bidhaa nzuri ila sera yao ni kuwa cheap(fake) for Africa market. What kind of partnership is this? Hapo tumeangalia tuu bidhaa za nyumbani bado dawa na mengeniyo. Hivi nini maana ya standards? TBS Mpo? Serikali mpo. MUNGU TUOKOE WAAFRIKA HASA TZ