BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Sjakuelewa mkuuNimewahi muona dada mmoja kweli alichange sana ila uwe Tayari kupoteza kifuniko ghafla na kila wakati
Usijisumbue na dawa bro, hizo ni biashara tuu, uzito husababishwa na jiko na huondolewa kwa jiko tuu. Fuata masharti ya kula toka kwa mtaalam wa lishe utapungua uzito na kitambi kwa gharama nafuu. Achana na madawa yenye sumu hayo.Habari wadau,
Naomba kuuliza kwa ambae ametumia bidhaa za EDMARK za kupunguza uzito je ilimsaidia kweli ama kama una mtu unaemjua alitumia bidhaa za EDMARK akafanikiwa kupunguza uzito.
Asanteni.