Bidhaa za kikuu

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
342
Reaction score
559
Wakuu habari za sasa.....
Naomba kuuliza kwa aliyewahi kuagiza bidhaa kikuu....hivi huwa inachukua muda gani Hadi kukufikia bidhaa uliyoagiza.

Pia kwa aliyewahi kuagiza screen magnifier vipi Ni kwa kuangalizia video tu au na kufungulia mafaili ya pdf, documents n.k,naomba nijuzwe.

Natanguliza shukrani.Ndo kwa mara ya kwanza nataka kuagiza huo mzigo,

#Mqaxy...
 
Screen magnifier zimejaa kibao kkoo, tena bei rahisi rahisi.

Ni gimmicks tu usitegemee quality yoyote ya kufanya jambo serious.
 
Mbona TZ yapo hayo madude mkuu? Na kuna jamaa alikua anayauza hizo magnifiers huku huku JF kati ya mwaka juzi au jana nafikiri... Vitu vingine sio lazima uagize China kama ni cha gharama ndogo afu kimoja, at least uwe mzigo mkubwa kuokoa costs!
 
Nimekupata mkuu
 
Sawa boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…