Bidhaa za kimachinga za kutembea nazo katika mitaa,ma bar na stand

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
-Charges
-power bank
-protecter
-machine za kunyolea za kuchaji
-visu vya kujilinda
-torch
-mikanda
-simu ndogo ORIGINAL hasa za Nokia
-flash
-vifaa vya mazoezi mfano kamba

Anayejua machimbo ya bidhaa Hizo Kwa kariakoo atupe maelekezo na pia bei Zake katika maduka ya jumla na pia kama kuna bidhaa nyingine za kuongezea hapo.
 
Nenda mchikichi na sikukuu karibu na hoteli ya konkodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…