Bidhaa za Mapambo ya majumbani kwa bei za jumla/kitonga

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Habarini Wakuu,
Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya majumbani kwa. Bei nafuu sana (I mean nafuu sana) hii inaweza kuwa fursa pia kwa wengine watakaohitaji kutumia fursa hiyo na wao kufanya biashara hii kwa kutafuta wateja wao wa rejareja.

Group letu linaitwa SCORE HOME DECOR STORE, Kama unahitaji kuwapo humo nitumie ujumbe WhatsApp wa neno “NIUNGE” kwenye number 255673269533
Black and Beige Simple Home Decor Logo - 2.png
 
Habarini Wakuu,
Nimekuja na tangazo langu fupi hapa, Nimefungua group la WhatsApp ambalo ni kwaajili ya wateja wangu ambao nitakuwa nachapisha picha na bei za bidhaa mbalimbali za mapamboo ya majumbani kwa. Bei nafuu sana (I mean nafuu sana) hii inaweza kuwa fursa pia kwa wengine watakaohitaji kutumia fursa hiyo na wao kufanya biashara hii kwa kutafuta wateja wao wa rejareja.

Group letu linaitwa SCORE HOME DECOR STORE, Kama unahitaji kuwapo humo nitumie ujumbe WhatsApp wa neno “NIUNGE” kwenye number 255673269533View attachment 3139549
Wazo ni zuri sana kijana...
Lakini skuizi watu tunaogopa kutumia hii namna yako ili kuungwa kwenye makundi ya whatsap (nashauri tumia link).
Lakini pili....
Ni ngumu kumshawishi mteja hadi akuelewe kwa namna hii tu uliyo weka tangazo lako hapa, wengi watakuja kukuomba waone baadhi ya kazi zako ikiwa zitawavutia then wakupe kazi.
Lakini tatu haujasema.....
Wewe upo wapi?
Ofisi yako ipo wapi?
Mnapatikana mkoa/Wilaya/Kijiji/Mtaa gani?
 
Details zote hizo nafikiri inakuwa vyema mtu akizipata baada ya kujiunga group maana hapa sijatangaza biashara mkuu ila nimetoa tangazo la sehemu ya kukutania kuzungumzia hizo biashara.

Link ningeweka ila naona hairuhusiwi kwa hapa.
 
Kwa uzoefu wangu....
Hautopata wakuja kwenye group (inaonekana hauna printing machine ndio maana hautaki hata kusema wazi ofisi zako zilipo).
Huo nimekupa mfano mmoja tu....
 
Prices 🤗🤗
2892C1D6-D813-4E0C-B329-27A27FA6D20D.jpeg
 
Back
Top Bottom