Bidhaa za Oraimo zipewe maua yake

Bidhaa za Oraimo zipewe maua yake

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Oraimo ni brand ya mchina lakini mchina anayejielewa.

Bidhaa zake huwa ni imara sana, kuanzia Charger, USB Cables, Ear Pods, Power Banks nk

Kwasisi watu wa kipato cha kati hizi bidhaa zake zinatufaa sana, nina charger tangu 2019 haijawahi kuharibika!

Bidhaa za Oraimo ni imara na zinapatikana kwa bei nafuu, tuwape maua yao!!
 
Oraimo wanajitahidi kukupa specs wanayotangaza mfano kama ni charger ya 5V 2A basi utapata kweli hizo amps, ila durability bado sana, mfano charger zao baada ya mda kidogo tu tundu la usb linakua loose.

Wachina waliochangamka kama kina Oppo, Vivo, Xiaomi, Oneplus, Motorola etc wana bidhaa zenye quality kubwa zaidi.
 
Kabisa mtu kama xiomi ukipata bidhaa zimesimama
 
Back
Top Bottom