Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
kuna pacha wake tayari anajiita RAIMOTatizo Samsung; Apple na brand yoyote kubwa unayopata ni yenyewe ?
Kitu kinapokuwa popular hauchelewi kupata kitu hicho hicho (copycat brand) ambayo inatengenezwa mtaa wa pili na jamaa
Huyo ni mtoto sasa, kuna bidhaa za ORAIMO na within kuna fake kabisa kidogo sana inataka kufanana na OG.kuna pacha wake tayari anajiita RAIMO
ukiagiza hizo fake unauza kwa kivuli cha og, lazima kkoo utafutwe kama jamaa wanayemuita mnaigeriaHuyo ni mtoto sasa, kuna bidhaa za ORAIMO na within kuna fake kabisa kidogo sana inataka kufanana na OG.
Kabisa mtu kama xiomi ukipata bidhaa zimesimamaOraimo wanajitahidi kukupa specs wanayotangaza mfano kama ni charger ya 5V 2A basi utapata kweli hizo amps, ila durability bado sana, mfano charger zao baada ya mda kidogo tu tundu la usb linakua loose.
Wachina waliochangamka kama kina Oppo, Vivo, Xiaomi, Oneplus, Motorola etc wana bidhaa zenye quality kubwa zaidi.