Bidhaa za oriflame zinapatikanaje kwa sasa nchini Tanzania?

Bidhaa za oriflame zinapatikanaje kwa sasa nchini Tanzania?

clinician

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
2,098
Reaction score
4,926
Habari zenu wakuu,

Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo bidhaa labda ziagizwe nje.

Je, nini kilifanya Oriflame waondoke Tanzania? Kama kuna mwenye msaada wa kuweza kupata hiyo bidhaa naomba msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom