Habari zenu wakuu,
Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo bidhaa labda ziagizwe nje.
Je, nini kilifanya Oriflame waondoke Tanzania? Kama kuna mwenye msaada wa kuweza kupata hiyo bidhaa naomba msaada tafadhali.