Jipatie bidhaa za stationary kwa bei nafuu zaidi kwa bei ya jumla tupo kariakoo mtaa wa lindi karibu na msikiti wa lindi pia tunafunga ODA kwa watu wa mikoani kwa uaminifu mkubwa
Taja kwanza bei ya jumla kwa vifaa vyako vyote ulivyo navyo, ili tulinganishe na bei ya huku tulipo. Tukiona kuna unafuu usiotia shaka, basi tutakutafuta mara moja.