Msaada kwenye Mtaro hapo!!Hivi jamani wakuu kwa niaba ya mke wangu ambaye anataka kufanya biashara ya kupeleka bidhaa zilizotengenezwa na ukili! ila sasa mpaka sasa hivi bado tunahangaika kujua haswa huu ukili unaitwaje ktk lugha ya wenzetu(English) ktk description barabara ya kueleweka wakuu!natanguliza shukurani!
Anataka kuleta nchi za west! nashukuru sana kwa msaada wako mkuu! ngoja tuifanyie utafiti zaidi. Hizi ni bidhaa zina soko sana huku west lakini zinahitaji indepth descriptions ili customer aelewe exactly anaangalia nini, na hapo ndio mara nyingi huwaga ngumu for many of these tradition items! thanks