hii ya kupima kwa kilo sidhani kama ipo Dar labda uarabuni huko.
pitia kkoo kwenye maduka ya wachinaokey.
hata ya kuuza kwa jumla sawa tu. nadhani kwaweza kukawepo wanaotoa china moja kwa moja wakawa wanauza kwa bei nafuu zaidi....hii ni biasharanzuri ukikaa katikati ya soko. bei ni 2 to 3 times ya ile uliyojumulia