INAUZWA Bidhaa za Vitenge

Unawahi sehemu Nini rafiki au usingizi umekata tu Kama mimi
Mimi sijui utu uzima.?? Kila sk muda kama huu usingizi unayeyuka..napanga nakupangua mambo balaa...yaan naamka kbs naanza kuandika things to do..wap nirekebishe..argggg utu uzima sio kbs jamani!..
 
Hii Hali imenisababishia hadi afya yangu kuwa mbaya

Nadhan ni msongo wa mawazo..kesho nataka kuanza fanya mazoez mepesi mepesi maana kukaa bila kijishughulisha nayo kipaji..anza mazoez ya kufanya mwili uwe active ..usijifukize lakini🤦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…