Bidhaa ziingiazo nchini bila kodi

mamii90

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
380
Reaction score
266
Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi.

Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
 
Mimi nafahamu bidha za shule/kielimu.

kuna kipindi pia nilisikia za kilimo, kam ma trekta ila sina uhakika
 
Usijipe uhakika kabisa kwa jambo hili kwenye Awamu hii.

Naishia hapo
 
Bidhaa ambayo inatoka nje na haina kodi ni maji ya bahari na upepo tuu

Huko kwingine usipolipa Import duty basi utalipia VAT mwisho wa siku Ngoma inogire

Kumkoma nyani geradi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au mnasemaje mods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…