Bidhaa zinazosajiliwa nchini ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili

Bidhaa zinazosajiliwa nchini ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wakuu habari

Kuna hii shida ya bidhaa kutoka nje kukosa maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili. Mi utakuta umenunua dawa lakini ina maelezo ya kiarabu, kifaransa kiingereza, kirusi nk lakini si kiswahili na watumiaji ni waswahili. Iko hivyo kwenye kila bidhaa na zingine zinazalishwa hapahapa

Nashauri itungwe sheria bidhaa isisajiliwe kuuzwa nchini Kama Haina maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya kiswahili
 
Back
Top Bottom