Bidhaa zipi hazihitaji kutoa na kudai risiti?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Je kuuza kipande kimoja Cha sabuni nitoe risiti na mnunuI adai risiti?
 
Pipi ya 200 sukari kg moja sidhani kama vinahitaji risit.
 
Wewe unadhani, TRA ndo watuambie sisi wananchi kama mche mmoja wa sabuni unatakiwa kutoa na kudai risiti. Waseme ni bidhaa zipi au za kiasi gani usidai risiti.
 
Wenzetu nje wameshazoea hii ishu ya kutoa risiti
Yaani hata uuze Cha shilingi moja unatoa.
Sasa Kama hutaki kutoa ni kwa Nini unaamua kukiuza Sasa.
Ama uwe Kama kiwanda kuwa wanauza kuanzia semi moja ya sementi na sio chini ya hapo ili tujue mkuu.
So ishu Kodi yetu jamaa wanaenda kumlipia posh queen ndege kuzunguka porini kuwa ni kutangaza utalii baaadaye anakuja kulala gold crest kwa Kodi zetu ndo Mana zinatuuma tunakwepa.
Ama Brazil wanakuja kucheza Taifa stars tunalipa 3bn ili kujitangaza tz na huku Kuna watu huko kwetu Tanzania hawajui kituo Cha afya,watt wetu wasomea kwa class za mud so it pain than what you're thinking
 
Usipokubali kuliwa kidogo huli
 
Back
Top Bottom