Wenzetu nje wameshazoea hii ishu ya kutoa risiti
Yaani hata uuze Cha shilingi moja unatoa.
Sasa Kama hutaki kutoa ni kwa Nini unaamua kukiuza Sasa.
Ama uwe Kama kiwanda kuwa wanauza kuanzia semi moja ya sementi na sio chini ya hapo ili tujue mkuu.
So ishu Kodi yetu jamaa wanaenda kumlipia posh queen ndege kuzunguka porini kuwa ni kutangaza utalii baaadaye anakuja kulala gold crest kwa Kodi zetu ndo Mana zinatuuma tunakwepa.
Ama Brazil wanakuja kucheza Taifa stars tunalipa 3bn ili kujitangaza tz na huku Kuna watu huko kwetu Tanzania hawajui kituo Cha afya,watt wetu wasomea kwa class za mud so it pain than what you're thinking