Bidhaa zitokanazo na Ubuyu

Bidhaa zitokanazo na Ubuyu

duh C6 mtaalamu wa technolojia ya compyuta na wewe umejiunga kwenye miti shamba?
 
kwa yeyote anaehitaji bidhaa zitokanazo na ubuyu kutoka dodoma, awasiliane nami kwa nambari za simu 0764883297 au barua pepe joe@mtaawasaba.com

bidhaa zinazopatikana mpaka sasa ni
1. mafuta ya ubuyu
2. sabuni za ubuyu
3. unga wa ubuyu
4. jam za ubuyu

kuhusu matumizi na bei. ya bidhaa hizo tembelea >>>>> UbuyuMix | boabab products from Dodoma upate maelezo zaidi au nipigie au niandikie barua pepe

kwa ambao.watanunua mzigo mkubwa watapata discount, mzigo utatumwa popote ulipo tanzania.

Mie sio wa kunitag tu ila ni wa kuniletea tena sio bidhaa moja ila ni mzigo wa kuuza pia.
 
duh C6 mtaalamu wa technolojia ya compyuta na wewe umejiunga kwenye miti shamba?

hahaha sio mitishamba ila ni bidhaa za asili, si unajua tena mambo ya ujasiriamali
 
kwa yeyote anaehitaji bidhaa zitokanazo na ubuyu kutoka dodoma, awasiliane nami kwa nambari za simu 0764883297 au barua pepe joe@mtaawasaba.com

bidhaa zinazopatikana mpaka sasa ni
1. mafuta ya ubuyu
2. sabuni za ubuyu
3. unga wa ubuyu
4. jam za ubuyu

kuhusu matumizi na bei. ya bidhaa hizo tembelea >>>>> UbuyuMix | boabab products from Dodoma upate maelezo zaidi au nipigie au niandikie barua pepe

kwa ambao.watanunua mzigo mkubwa watapata discount, mzigo utatumwa popote ulipo tanzania.

Nimetembelea hiyo website naona bado inahitaji marekebisho. Links hazionyeshi habari zinazohitajika.
 
ni kweli bado haijakamilika mkuu ila ina taarifa kiasi
 
Back
Top Bottom