Wandani tv
Member
- Feb 22, 2019
- 7
- 9
Tukiangazia upande wa Burundi, msanii wa music wa buja flavour nchini burundi_bien frema amefunguka katika mike za Wandani tv baada ya kuachia kibao chake ivi karibuni kilicho mtambulisha vyema kwamashabiki na kumuongezea mashabiki,,niko naamini music hauko na mwenyewe juu alikuako soso k, alivuma, ndo akaja lolilo na big fizzo nabenyewe ivyoivyo sasa namiye Leo banijue kama bien frema iko mizisye,Leo nikomiye kesho tena atakuja mwengine ju namueshimu aliye nitangulia, na niliye mtangulia, shabiki wangu kaeni kwenye music mzuri kutoka kwangu na batanzania niko nawaomba munisapot,,,hayo kayazungumza bien frema alipo hojiwa na mwana habari wetu Wandani TV alipoingia Bujumbura siku ya leo