Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Watu wanapiga mziki mzuri laini wewe upeleke makopo utashinda wapi....Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy ingekuwa jambo rahisi sana.
Unajua maana ya Genre?Watu wanapiga mziki mzuri laini wewe upeleke makopo utashinda wapi....
Hivi Kuna uhusiano gani kati ya waendesha Boda Boda na muziki wa singeli?singeli sio mziki nyie acheni mambo ya ajabu zile ni kelele!
mi sio mmbea mkuu..πHivi Kuna uhusiano gani kati ya waendesha Boda Boda na muziki wa singeli?
ππmi sio mmbea mkuu..π
Amapiano ndiyo muziki?singeli sio mziki nyie acheni mambo ya ajabu zile ni kelele!
muziki ni mpangilio wa ala za sauti, zilizopangiliwa ki ufundi,stadi na sanaa.Amapiano ndiyo muziki?
Huwa nashangaa vijana wa daslam wanaplay hizo singeli kwenye simu zao, wengine huenda mbali na kusikiliza kwa earphones, ule mziki hata mimi huwa siuelewi.muziki ni mpangilio wa ala za sauti, zilizopangiliwa ki ufundi,stadi na sanaa.
Binafsi kwangu singeli ni kelele tupu!, hakuna muziki pale na hauwezi kutoboa kimataifa maana namna ya muundo wake umekaa kiajabu ajabu!.
kulinganisha amapiano na singeli ni kama kuabisha muziki mzuri wa amapiano!.
kwenye amapiano ala zake zinapangiliwa vyema na ni muziki uliozingatia ubunifu na kazi nzuri ya sanaa!.
kaa chini sikiliza hizo singeli halafu sikiliza na amapiano kama unajua muziki vyema utatoka na jibu lililojema.
kelele KwakoSINGELI=KELELE
Akiimba platinum sio kelele wewe singeli ndo mziki wetu kama bongo flavour, mnanda , taarabuSINGELI=KELELE
Mpaka drake atakapoimba singeli ndio wataelewaAkiimba platinum sio kelele wewe singeli ndo mziki wetu kama bongo flavour, mnanda , taarabu
Singeli ingipangiliwa biti vizuri ni bonge la music asee
Tafuta ngoma ya tembele ya manfongo sikikize zile instrument alafu uje Hapa upige kelele