Hata siku moja! Kiba yupo hapa JF tu mitaani ameshasahaulika, mnalazimisha tu. lakini yeye mwenyewe Kiba alishakubali matokeo. Huwezi shindanisha kobe ( Kiba) na farasi (Diamond).Kiba na Diamond wote wako level moja tu hakuna anayemzidi mwenzake
Vipi kuhusu udakitari wa heshima.
Usisahau kuwa kobe ni mnyama mwenye akili kuliko wanyama wengine wengi(google),pia huish muda mrefu zaidi hata miaka mia tisa,so huu sio mfano mzuri sana,sababu farasi hata akikimbia kwa haraka kias gani umri wake mfupi sana tofauti na kobe amabae ana mwendo wa pole pole na anadumu zaid kama Kiba.Hata siku moja! Kiba yupo hapa JF tu mitaani ameshasahaulika, mnalazimisha tu. lakini yeye mwenyewe Kiba alishakubali matokeo. Huwezi shindanisha kobe ( Kiba) na farasi (Diamond).
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Jamani mi kila nikisoma hizi comments lazma nicheke
Hunizidi mimi mwaya