Bifu: Don Masha amlipua mzazi mwenzie Dkt. Kumbuka kuhusu matunzo ya mtoto, ajibiwa kwa dharau kuwa aende Ustawi wa Jamii

Mhhhh huyu kumbuka atajisahau sasa ahamie upande wa pili wa jinsia
 
Ila wanaume wa Dar ni shiida, huyo Kumbuka anaongea balaaa.

Na naona siku hizi ukiwa muongeaji sanaaa hukosi kazi ya utangazaji[emoji1][emoji1][emoji1]
Bwana bwana wee hii nchi hii inavituko sana
 
Huyo jamaa anaonekana kuwa ni choko kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimecheka hadi baas, afu nilijua tyuuuh binamu huu umbea ukiuona lazima uulete huku lol.

Ila bidada nae ana huruma khaaaah hadi kumbuka na mtoto juu hahahahah.
Dogo hujambo
 
Ndoa
Ndoa ya mataahira
 
Dr Kumbuka anapeleka moto kumbe? Nilijua wanampelekea yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…