Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Status
Not open for further replies.

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
kuna bifu kali linaendelea la hatari kati ya ma celebrities wawili walioko under 25 years of age,yaani mvulana mmoja aitwaye le akili kubwaz na age mate wake msichana aitwaye lulu.
Updates mubashara zitaendelea kuwekwa papa hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kali ya mwaka, jpili mbali nione le akiliz kubwaa atafanya nn lol
 
Ndio madhara ya kutokujitambua hayo, avumilie tu kama ambavyo watu wanavumilia ujinga wake
 
Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.

Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Usimshutumu pengine Ana ushaidi.

Tusubiri asipotajwa kwenye list ya Naibu Waziri ndio tutaamini kama shoga au lah
 
Hahaaaaa ila lile jibu la Lulu lilikua kiboko
 
lulu kapotea njia...

degree nne,zee la mjini..akili kubwaaz..!

LULU tafuta suluhu;ni babu yako huyo...mpooze!
 
Kubwa jinga Kweli Yani old guy like u arguing with lil girl same age as ur daughter,u need to change dude
Daughter or granddaughter?, sijakupata vizuri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…