Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Status
Not open for further replies.
Aisee ushahidi upi jaman.mbona sie tumemkaushia ishu ya kanumba.

Mwanamke akikuchukia ili kukukasirisha lazima akuite shoga au kibamia(hata kama hana ushahidi)
Usimshutumu pengine Ana ushaidi.

Tusubiri asipotajwa kwenye list ya Naibu Waziri ndio tutaamini kama shoga au lah
 
Kwani alitajwa mtu mzima au kwa tabia zake ndio kajishtukia?aibu naona mimi aiseeeeee duh.
 
Hivi mutuz hana mtoto? Hii ligi angempa mtoto wake aiendeshe na sio yeye kubwabwaja mtandaoni... poor him hata kama kakosewa
 
Atakuwa anatafuta kiki because hajakamatwa na ya kulevya, ila kajisahau kuwa yupo nje kwa dhamana na kesi yaweza kuendelea muda wowote.

Sikujua anatabia ya kutukana hivi, makucha yake yanajionesha na labda mmmmh. WOW
 
Soma hapa uone aliyejibiwa(mtoto mdogo dharau debe,kisa keshachungulia kila aina ya vikojoleo)

Nimeuliza katajwa uyo anaetaka kuombwa radhi au kaamua kujitaja?huu upuuzi ni sawa na ule wa Jide kumshtaki Captain eti kaambiwa kakojozwa wakati ushahidi haujitoshelezi hapa anatafuta aibu tu.
 
Huyo lemutuz naye ni mpuuz tu yeye mbona anatoa kauli za utata sana. Ila naona watoto huko insta wanamnyosha sana yule babu had nimecheka
 
Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..

" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "

Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.

Hana akili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…