Bifu kali la Lemutuz na Lulu

Status
Not open for further replies.
hujaelewa nini/? le mutuz wanamsingiziaga kwamba ni 60 years old, sio kweli, he is still young and vibrant tena always yupo kwenye full swing, inasemekana he is 25
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Du Lulu hajamkwepesha Full Makavu Mubashara...

Kama Le mutuz akimfungulia kesi Lulu na mie kama muamini wa Gwajima namfungulia kesi Le mutuz.
 
Aibu sana dingi kama lemutuz kujibishana na mabinti wadogo wenye umri sawa na mabinti zake.
 
Nimekuquote halafu nikakuita shoga bila kutaja jina ungepotezea au ungepanic kama jibu ulilotoa hapa?

Swali langu linabaki pale pale kuna mazingira ya kumshitaki uyo mtu na haujatajwa au anataka kufurahisha kijiwe.
Unaweza kuni-quote na bado ukasimamia kua haukunitaja mimi kwenye mtazamo wako na sidhani kama kuna ushahidi wa kushtakiana kwenye mazingira ya tweets zao na kama yapo ina maana Gwajima bila kutajwa anaweza kumshtaki uyu babu kua amemtusi?
 
Kuwafatilia hawa tunao waitaga mastar wa bongo nishachokaga,,,nipe update mubashara za Trump
 
Aiseee..huyu jamaa ndo alitaka kupewa ubunge wa EAC kupitia thiethiem...alooo wakati mwingine kumbe wabunge wa thiethiem mnajitoaga akili tu makusudi ila kwa hili la kumpiga chini huyu 'kinda mzee' hapo mliamka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wote ni watoto wa kike....I hope wanataka audience tu!!
 
Mbona sijaona alipokosea huyo mtoto?

Alafu huwa napenda kuwaambia watu, dharau za watoto kwa watu wazima kwa hali yoyote ile zinatokana na mtu mzima kutokujiheshimu na kujitambua kama ameshazeeka!

Kulikuta jitu zee zima linapost picha likiwa linabusu wanawake tena waliopaswa kuliita babu ni aibu na fedheha..

Sasa hapo unategemea hao wajukuu watakuheshimu? Kwa lipi?

Ameshatengeneza mazingira ya kudharaulika tu!
 
hilo swali aulizwe mama lulu(yeye ndio anajua umri halisi wa lulu sio huu wa mitandaoni),na yeye kwann akubali kuchungulia watu wazima wakat ni under 18?
Mama ake alisema wakati ule mwanae ni under 18 unataka kubishana nae?!

na sheria inasema under 18 ni mtoto ukimfanya mchezo mbaya umemrubuni no matter what.

haya turudi kwenye point ya msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…