[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuwa na heshima mkuu, edit post yako, it's granddaughter
Axnte lulu endelea kutunyooshea majuha kma ili libabu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule anitaji maombi ya kufunga cku arobaini bila kula aisee nilicheka sana!!Ukitaka kupima akili za huyo Le Mtumboz sikiliza alichoongea kwenye 40 ya mtoto wa Diamond..
" kwanza kabisa inabidi tumshukuru mwenyezi Mungu kwa sababu ya kutusaidia wote tuliomo humu ndani hakuna alieitwa Central police ingawa watu wengi tu wangependa tuitwe..... "
Imagine mtu wa age yake... 59yrs ndio alichoanza nacho kwenye speech yake.
Hana akili.
Lulu ndio mchokozi,angemtetea gwajima bila kumuita le mutuz shoga.
Kuna wengi wanamchukia le mutuz humu ila muwe fair,huyo binti kazidi dharau
Ni kweli hasa vijana na wazee wenye kufuatilia maisha ya watu. Afu hata picha anapiga na wadada wa umri. Sio nyie mnabaka mpka wajomba zenu wa miaka 2 ..Na wala hawana sababu. Wivu. Wanahisi kuwa wadada wazuri wote anaopiga picha nao anakuwa nao. Kumbe mnsaahau kabisa kazi zake za social media unatakiwa usome soko lako. We tazama kama soko ntu anavuta bangi kitu ambacho mtoto wako wala hutapenda atumie lakini kisa mtu maarufu basi inafanywa kitu chavkawaida. Social media haina umri. Tena kama nyie manaojihita vijana mmejaa frustrations tu na mnapenda kila siku kutuambzkiza na wenzenu. Soma mazingira yako na tumia kwa faida ykao bila kunpanda mtu kichwani. So lemutuz anajua wabongo mnavyofikiri na hiyo ndo akili. Sasa vijana mawivu tu. Kupiga kelele. Tena heri yeye wala hajifichi kama sisi ambao tunasura kama boko lakini kelele na ushamba kuzani social media ni ya vijana tu labda mada zisizo na mantiki ndo mana mnaona za vijana mara sijui fupi sijui ndefu. Nini haya sasa kama si ujinga. So vijana achebni wivu huyo jamaa social media ndo shughuli zake so anaitumia na inamletea maodha kuliko we unatuibia barabarani na kutukana bila malipo.
i was just curious you know, mtu mzima unagombana na katoto, halafu ukifuatilia wanachogombania ni "dharau ambazo mkubwa amezionyesha kwa askofu wa lulu"....mkubwa hana kazi za kufanya? le....yuko over 50, lulu sina uhakika kama hata 25 amefika.unajua ukiwa unamzidi mtu miaka 30 hivi, maana yake ni kwamba ulikuwa na uwezo wa kuzaa ulikiwa 14 au 15 pamja na kwamba mwanaume akishabalehe tu kuanzia 13 anaweza kuzalisha....ukitoa 30 minus 13 unapata miaka kama 17 hivi, that means ukiwa na miaka 30 binti yako(mama ambaye angekuwa wa lulu angekuwa 17 au hata 15 its ok) na mpaka leo hii ukiwa 55 kama le mkubwaz, lulu ni mjukuuu wake kabisa. wakati mwingine tuwaache pengine ni utani wa babu na mjukuu si unajua tena.Ha ha ha...Nimependa style yako. Hujafungamana na upande wowote.
Mama ake alisema wakati ule mwanae ni under 18 unataka kubishana nae?!
na sheria inasema under 18 ni mtoto ukimfanya mchezo mbaya umemrubuni no matter what.
haya turudi kwenye point ya msingi.
Kuwafatilia hawa tunao waitaga mastar wa bongo nishachokaga,,,nipe update mubashara za Trump
Hahaaaaa ila lile jibu la Lulu lilikua kiboko
Swali langu linabaki pale pale kuna mazingira ya kumshitaki uyo mtu na haujatajwa au anataka kufurahisha kijiwe.
Unaweza kuni-quote na bado ukasimamia kua haukunitaja mimi kwenye mtazamo wako na sidhani kama kuna ushahidi wa kushtakiana kwenye mazingira ya tweets zao na kama yapo ina maana Gwajima bila kutajwa anaweza kumshtaki uyu babu kua amemtusi?